Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
2 0 6 /
M U N G U M W A N A
Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi katika Agano la Kale (muendelezo)
Rejea ya Biblia
Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi
UKK DAJ
EAJ MWK
Masihi amepakwa mafuta kwa Roho wa Bwana kutangaza Habari Njema kwa maskini, na uhuru na ukombozi kwa wafungwa.
49
Isa. 61:1-11
X
X X
Mvunjaji wa Mungu atawaongoza watu wa Mungu kutoka utumwani
50
Mika 2:12-13
X
Mtawala mtukufu atatokea kutoka Bethlehemu ili kuwachunga watu wa Mungu na kuwapa ushindi dhidi ya adui zao
51
Mika 5:1-5
X X X X
Bwana atatokea katika wokovu wa Masihi wake, naye atakipiga kichwa cha nyumba ya uovu
52 Habakuki 3:12-15
Mungu atainua Chipukizi Mwenye Haki ambaye atatenda kwa hekima na kutekeleza haki na uadilifu katika nchi
53 Yerermia 23:5-6
X
Baada ya kurudi kutoka uhamishoni, watu wa Mungu watamtumikia Daudi Mfalme wao ambaye atakuwa Mpatanishi na kumkaribia Mungu kwa ajili yao
54
Yer. 30:9, 21
X
55
Yer. 31:21-22
Mungu ataumba kitu kipya katika nchi
X
X
Bwana atamwinua Mtumishi wake mwadilifu katika nchi, wala hatakosa kuitimiza ahadi yake kwa Daudi na Lawi
56
Yer. 33:14-26
X
Kitawi chororo kutoka katika nyumba ya Daudi kitakuwa Mwerezi mzuri na ndege wa kila aina watakaa chini yake
57 Ezekieli 17:22-24
X
X
Taji laondolewa kutoka kwa mfalme wa mwisho wa Yuda hadi atakapokuja ambaye ni haki yake
58 Ezekieli 21:25-27
Mungu ataweka juu ya wale wanaorudi kutoka Babeli Mchungaji mmoja, mtumishi wake, Daudi
59 Ezekieli 34:23-31
X
Watu wa Mungu watakuwa na umoja na watakuwa na Mfalme mmoja, “Mtumishi wangu Daudi”
60 Ezekieli 37:21-28
X
Mfalme katika wakati ujao atapewa heshima, na kwa njia ya Yeye dhabihu zitatolewa kwa Mungu
61
Ezekieli 44:48
X
Mmoja kama Mwana wa Adamu atakuja mbele ya Mzee wa Siku ili kupokea Ufalme na Utawala wa milele
62 Danieli 7:13-14
X X X X
Baada ya “majuma” 69 ya miaka, Masihi atatokea, atakatiliwa mbali, naye atakomesha dhabihu na matoleo
63 Danieli 9:24-27
X
X
Baada ya kutikiswa kwa mataifa, Tamaa ya Mataifa yote atakuja na kulijaza Hekalu la Mungu utukufu
64
Hagai 2:6-9
X
X
Made with FlippingBook - Online magazine maker