Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

/ 2 0 7

M U N G U M W A N A

Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi katika Agano la Kale (muendelezo)

Rejea ya Biblia

Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi

UKK DAJ

EAJ MWK

Zerubabeli atafanywa kuwa pete ya muhuri wa Mungu katika siku ambayo viti vya enzi vya falme na mataifa vitapinduliwa na Bwana

65

Hagai 2:21-23

Mtumishi wa BWANA, Chipukizi lake, anafananishwa na Yoshua Kuhani Mkuu na jiwe lililochongwa

66

Zekaria 3:8-10

X

X

Mtu ambaye jina lake ni Chipukizi atalijenga Hekalu la Bwana, naye atakuwa Kuhani na Mfalme

67 Zekaria 6:12-13

X

X

Mfalme wa Sayuni anakuja akiwa amepanda mwana-punda

68

Zekaria 9:9-11

X

X X

Mungu atamtuma mmoja ambaye ni Jiwe la Pembeni, Kigingi cha Hema, Upinde wa Vita, yeye aliye na enzi yote

69

Zekaria 10:3-4

X

Vipande thelathini vya fedha kutupwa kwa mfinyanzi katika nyumba ya Mungu

70 Zekaria 11:4-14

X X

Upanga wa haki ya Mungu unampiga Mchungaji na kondoo hutawanyika

71

Zekaria 13:7

X X

Mjumbe wa Bwana ataisafisha njia mbele yake, na Bwana atakuja katika hekalu lake ghafula

72

Malaki 3:1

X X X X

73

Malaki 4:2

Jua la Haki litazuka likiwa na uponyaji katika mbawa zake

X X

Made with FlippingBook - Online magazine maker