Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 2 1 3
M U N G U M W A N A
Masihi Yesu: Utimilifu wa Vivuli vya Agano la Kale (muendelezo)
Masihi Yesu Anatimiza Dhabihu na Sadaka za Walawi
Sadaka ya Walawi
Jinsi Sadaka Inavyotimizwa Katika Yesu wa Nazareti
Ukamilifu wa maisha yake Ebr. 9:14
Sadaka ya Kuteketezwa
Kuyatoa na kuyakabidhi maisha yake Ebr. 5:7; Yohana 4:34
Sadaka ya Chakula
Yeye ndiye amani ya mahusiano na roho zetu Ebr. 4:1-2; Efe. 2:14
Sadaka ya Amani
Alibeba adhabu ya makosa yetu Ebr. 10:12; 1 Yohana 2:2
Sadaka ya Dhambi
Fursa kwa mkosaji Ebr. 10:20-21; 1 Yohana 1:7
Sadaka ya Hatia
Made with FlippingBook - Online magazine maker