Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
2 1 4 /
M U N G U M W A N A
Masihi Yesu: Utimilifu wa Vivuli vya Agano la Kale (muendelezo)
Masihi Yesu Anatimiza Sikukuu na Sherehe za Walawi
Sikukuu ya Walawi (Law. 23)
Utimilifu katika Yesu wa Nazareti
Pasaka (Aprili)
Kifo cha Yesu Kristo 2 Kor. 5:17
Mwenendo mtakatifu na wa unyenyekevu kwa ajili ya Yesu 1 Kor. 5:8
Mikate Isiyotiwa Chachu (Aprili)
Malimbuko (Aprili)
Ufufuo wa Masihi Yesu 1 Kor. 15:23
Sikukuu ya Pentekoste (Juni)
Kumwagwa kwa Roho kutoka kwa Baba na Mwana Matendo 1:5; 2:4
Baragumu (Septemba)
Masihi Yesu Kukusanya tena Taifa la Israeli Mathayo 24:31
Siku ya Upatanisho (Septemba)
Upatanisho na utakaso kwa njia ya Yesu Rum. 11:26
Vibanda (Septemba)
Pumziko na kuungana tena na Masihi Yesu Zek. 14.16-18
Made with FlippingBook - Online magazine maker