Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 2 1 5
M U N G U M W A N A
K I A M B A T I S H O C H A 2 9 Taswira za Yesu katika Vitabu vya Agano Jipya Imechukuliwa kutoka kwa John Stott, The Incomparable Christ
Barua Kumi na Tatu za Paulo
Tarehe Kadiriwa ya Kuandikwa
Jinsi Masihi Anavyowasilishwa
Kipindi
Hadhira
Barua
Mwisho wa safari ya 1 ya umishonari
48-49
Barua ya ukosoaji
Wagalatia
Kristo Mkombozi
Wakati wa safari ya 2 ya umishonari
50-52
Barua za awali
1 na 2 Wathesalonike Kristo Hakimu Ajaye
Wakati wa safari ya 3 ya umishonari
Warumi, 1 na 2 Wakorintho
53-57
Barua kuu
Kristo Mwokozi
Wakati wa kifungo cha 1 huko Roma
Wakolosai, Filemoni, Waefeso, na Wafilipi
60-62
Barua za gerezani
Kristo Bwana Mkuu
Wakati wa kuachiliwa na kifungo cha 2
1 na 2 Timotheo na Tito
Kristo Kichwa cha Kanisa
62-67
Barua za kichungaji
Nyaraka za Jumla na Ufunuo
Kabla ya mwaka wa 70
Wakati wa huduma ya Paulo na Petro
Waraka kwa Wayahudi walioamini
Kristo Kuhani wetu Mkuu
Waebrania
Kitabu cha kwanza cha Agano Jipya kuandikwa
45-50
Nyaraka za jumla
Yakobo
Kristo Mwalimu wetu
Kipindi cha awali cha mateso
Kristo Mteswa wetu wa Kielelezo
64-67
Nyaraka za jumla
1 na 2 Petro
Kuelekea mwisho wa huduma ya Mtume
90-100
Nyaraka za jumla
1, 2, na 3 Yohana Kristo Uzima wetu
Tishio na kuongezeka kwa uasi wa awali
66-69
Nyaraka za jumla
Yuda
Kristo Mtetezi wetu
Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana
Imeandikwa akiwa uhamishoni
95
Unabii
Ufunuo
Made with FlippingBook - Online magazine maker