Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

3 2 /

M U N G U M W A N A

b. Wa Kwanza na wa Mwisho, Ufu. 1:17 na Isa. 41:4; 44:6

c. Alfa na Omega, Ufu. 22:13 na Ufu. 1:8

d. Mimi Niko, Kut. 3:14 na Yohana 8:58

e. Cheo chake kama Mwana kinahusishwa na Baba. (1) Maagizo ya ubatizo katika Agizo Kuu, Mt. 28:19 (2) Baraka za Paulo kwa Wakorintho, 2 Kor. 13:14

1

3. Yesu anazo sifa za Mungu.

a. Uwepo wake kabla, Yohana 1:1; Fil. 2:6

b. Maisha ya kujitegemea, Yoh 5:21, 26; Yohana 1:4; Ebr. 7:6

c. Utimilifu wa Uungu katika umbo la kimwili, Kol. 2:9

d. Muumba wa vitu vyote, Yohana 1:3; Ebr. 1:10; Kol. 1:17-18

e. Mtetezi na mtegemezaji wa viumbe vyote, Kol. 1:17; Ebr. 1:3

f. Mamlaka ya kusamehe dhambi, Mk 2:5-10; Luka 7:48

g. Kufufua wafu, Yoh. 6:39-40; 11:25

Made with FlippingBook - Online magazine maker