Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
5 4 /
M U N G U M W A N A
a. Yohana 1:14-18
b. Mathayo 11:27
c. Yohana 14:8-11
2. Yesu alitufunulia kusudi kuu la Mungu la wokovu , 2 Tim. 1:8-10.
3. Yesu alitufunulia mpango wa utume wa Mungu .
2
a. 1 Yohana 3:8
b. Mwanzo 3:15
c. Luka 24:44-48
B. Kwa habari ya Ukombozi
1. Kama Kanuni ya Imani ya Nikea inavyothibitisha, Yesu alifanyika mwanadamu kwa ajili ya ukombozi wetu (yaani, “Ambaye kwa ajili yetu sisi wanadamu na kwa wokovu wetu”).
a. 1 Timotheo 2:5-6
b. Luka 2:10-11
c. Waebrania 2:9-10
Made with FlippingBook - Online magazine maker