Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 5 5
M U N G U M W A N A
2. Kulipa adhabu kama dhabihu badala yetu
a. 1 Petro 3:18
b. Tito 2:14
c. Waebrania 9:28
3. Kutuweka huru kutoka katika nguvu ya utawala wa dhambi, Rum. 6:6-11
Ikiwa Kristo alikuwa mwanadamu tu, alisemaje, “Kabla Abrahamu hajakuwako, mimi niko?” Kwa maana hakuna mtu anayeweza kuwa kabla ya mtu ambaye yeye mwenyewe ametokana naye. Wala haiwezekani kwamba mtu yeyote angeweza kuwa kabla ya yule ambaye yeye mwenyewe amechukua asili yake. Hata hivyo, Kristo, ingawa alizaliwa na Abrahamu, anasema kwamba yuko kabla ya Abrahamu. .... Anawezaje kusema “mimi na Baba tu umoja,” ikiwa yeye si Mungu na Mwana? ~ Novatian (c. 235, W), 5.624, 625. Ibid. uk. 99.
2
4. Kutukomboa kutoka katika ufalme wa Shetani, Kol. 1:13
5. Kuthibitisha tena haki ya Mungu ya kutawala katika ulimwengu wake wote, Marko 1:14-15.
II. Yesu wa Nazareti, Mungu-mtu: Umoja wa Utu wa Yesu
A. Uungu Wake: Kristo alichukuliwa mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Kutembelewa kwa Mariamu (Luka 1:31-35).
b. Simulizi ya Mathayo kuhusu shida ya Yusufu, Mt. 1:18-25
Made with FlippingBook - Online magazine maker