Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

9 2 /

M U N G U M W A N A

c. Aliyatiisha mapenzi yake kwa Baba bila kikomo (1) Yohana 4:34 (2) Yohana 6:38 (3) Mathayo 26:39.

3. Kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti ya msalaba.

Msalaba ulikusudiwa kuonyesha neema kupitia herufi “T.” ~ Barnaba (c. 70 130, E), 1.143. Ibid. uk. 96.

a. Alizaliwa na kuishi chini ya sheria. (1) Alitahiriwa. (a) Mwanzo 17:12

(b) Lawi 12:3 (c) Luka 2:21 (2) Aliletwa hekaluni kwa ajili ya wakati wa utakaso wa mama yake (Luka 2:22-39). (3) Alitimiza andiko na roho ya Sheria katika nafsi yake mwenyewe (Mt. 5:17-18). b. Alisalimisha matumizi huru ya sifa zake za kiungu. (1) Alimtegemea Baba yake kwa namna zote (Yoh. 5:19-20). (2) Alitii amri ya Baba kwa dhati na kwa moyo wote katika kila jambo.

3

(a) Yohana 5:30 (b) Yohana 8:28 (c) Yohana 12:49 (d) Yohana 14:10

Made with FlippingBook - Online magazine maker