Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
9 4 /
M U N G U M W A N A
b. Kifo chake kilikuwa kati ya mada kuu zilizofanyiwa utafiti mwingi na manabii wa Agano la Kale, 1 Pet. 1:10-12.
3. Ni muhimu kama sababu ya wazi ya Umwilisho wake .
a. Waebrania 2:14-15
b. 1 Yohana 3:5
c. Mathayo 20:28
4. Ni muhimu kwa kuwa kinaonekana kuwa mada yenye nguvu kubwa sana mbinguni .
3
a. Luka 9:30-31
b. Ufunuo 5:8-12
II. Maana ya Kifo cha Yesu
Haiwezekani kufundisha juu ya Baba isipokuwa kwa njia ya Mwanawe Yesu Kristo. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.542. Ibid. uk. 574.
A. Yesu alikufa kama fidia kwa ajili ya wengi .
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Mathayo 20:28
b. Wagalatia 3:13
Made with FlippingBook - Online magazine maker