Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 9 5
M U N G U M W A N A
c. 1 Timotheo 2:5-6
d. 1 Petro 1:18
2. Picha: roho zilizopotea kama katika soko la watumwa, zimefungwa, zinaishi kwa kutawaliwa na kunyanyaswa, zimefungwa utumwani.
a. Ezekieli 18:4
b. Warumi 7:14
3. Kupitia kifo chake, Yesu huwakomboa wafungwa kutoka katika udhalimu wa shetani na dhambi, hutununua kwa damu yake mwenyewe na anakuwa Mmiliki na Bwana wetu mpya.
3
a. 1 Wakorintho 7:23
b. Waebrani 9:12
Kwa kumwamini utaishi. Lakini kwa kukufuru
c. Ufunuo 5:9
utaadhibiwa. Kwa maana “asiyemtii Mwana hatapata uzima.” ~ Katiba za Kitume (zilizokusanywa c. 390, E), 7.449. Ibid. uk. 575.
B. Yesu alikufa kama upatanisho wa dhambi zetu .
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Warumi 3:25-26
b. Waebrani 2:17
Made with FlippingBook - Online magazine maker