Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 9 7
M U N G U M W A N A
c. 1 Yohana 4:10
C. Yesu alikufa kama dhabihu mbadala (Pasaka yetu).
Kwa sababu ya upendo aliokuwa nao kwetu, Yesu Kristo Bwana wetu alitoa damu yake kwa ajili yetu kwa mapenzi ya Mungu. Alitoa mwili wake kwa ajili ya miili yetu, na nafsi yake kwa ajili ya nafsi zetu. ~ Klementi wa Roma (c. 96, W), 1.18. Ibid. uk. 42.
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Isaya 53:5-6
b. Warumi 8:3
c. 2 Wakorintho 5:21
3
d. Wagalatia 3:13
e. Waefeso 5:2
f. Waebrani 10:12-14
g. 1 Petro 2:24
h. 1 Petro 3:18
2. Picha
a. Mwana-Kondoo wa Pasaka wa simulizi ya Kutoka (Kut. 12) ambapo maisha ya dhabihu isiyo na hatia yanafanyika mbadala (mahali pa, badala ya) wa maisha mengine, taz. Kut. 12:11-13.
Made with FlippingBook - Online magazine maker