Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

9 8 /

M U N G U M W A N A

b. Dhabihu ya Isaka, ambapo badala ya Isaka kondoo dume alifayika mbadala wa Isaka (Mwa. 22:13).

3. Kwa njia ya kifo chake, Yesu anakuwa Mwana-Kondoo wetu wa Pasaka, ambaye mwili wake unabeba na kuchukua adhabu kwa sababu ya uasi, uovu na makossa yetu, ( Christus Victum : Kristo, Mwathirika kwa ajili yetu).

a. 1 Wakorintho 5:7

b. 1 Petro 1:19-20

c. Ufunuo 5:12

3

D. Yesu alikufa ili kumharibu shetani na kuharibu kazi yake .

Mungu alikuwa ametabiri kwamba uzao huu utatoka kwa mwanamke, na kwamba angekanyaga kichwa cha shetani. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.553. Ibid. uk. 594.

1. Ushahidi wa kibiblia

a. Zaburi 68:18

b. Mathayo 12:29

c. Yohana 12:31-33

d. Warumi 14:7-9

e. Wakolosai 2:15

Made with FlippingBook - Online magazine maker