Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 9 9
M U N G U M W A N A
f. Wabrania 2:14-15
g. 1 Yohana 3:8
2. Picha: kwa kifo chake mwenyewe, Yesu alimharibu yule mwenye nguvu za mauti (shetani).
a. Isaya 25:8
b. Hosea 13:14
c. 1 Wakorintho 15:54-55
3
d. 2 Timotheo 1:10
3. Kupitia kifo chake, Yesu anamharibu shetani, akikomesha haki yoyote halali aliyokuwa nayo juu ya wanadamu, akiwa amenyang’anywa silaha kabisa katika uwezo wake wa kusema uongo, kuwashtaki, kuwafanya watumwa na kuwaangamiza wale ambao aliwalaumu kihalali mbele za Baba, Ufu. 12:9-10.
E. Yesu alikufa kama upatanisho kati ya Mungu na uumbaji (pamoja na wanadamu) .
Bwana wetu Yesu Kristo alivumilia hali ya uwanadamu kwa niaba yetu, ili aweze kuharibu dhambi zote na kutupatia maandalizi muhimu kwa ajili ya kuingia kwetu katika uzima wa milele. ~ Phileas (c. 307, E), 6.162. Ibid. uk. 47.
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Warumi 5:10
b. 2 Wakorintho 5:18-21
Made with FlippingBook - Online magazine maker