Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide

2 5 8 /

M U N G U M W A N A

Maswali matatu yenye manufaa kwa ajili ya kutathmini sehemu ya uhusianishaji uliyoutengeneza ni haya: • Nimepata picha mapema kuhusu maeneo ya jumla ya uhusianishaji na utendeaji kazi katika somo hili? • Nimetengeneza namna ya kuibua maswali ya wanafunzi na kuyapa kipaumbele? • Je hii itasaidia mwanafunzi kutoka darasani akiwa anajua nini cha kufanya kutokana na ile kweli waliyojifunza? Mwisho, kwa sababu kazi ya huduma ni kazi ya utendaji katika mfumo maalum kwa kozi nzima, itasaidia sana kutenga pembeni sehemu ya uhusianishaji na kufanya wanafunzi wajadili nini wangeweza kuchagua kwa ajili ya kazi yao na kutathmini maendeleo na/au ripoti kwa darasa baada ya kumaliza kazi.

Hatua katika Kuongoza Kipindi • Chukua mahudhurio • Ongoza ibada • Tamka au imba Kanuni ya Imani ya Nikea na kuomba • Toa majaribio. • Fanya zoezi la kukariri Maandiko • Kusanya kila kazi ambayo imeshafika muda wake.

Shughuli za Ufunguzi

• Tumia mfano wa sehemu ya Kujenga Dalaja uliyopo katika Mwongozo wa Mkufunzi au tengeneza wa kwako mwenyewe

Kufundisha Sehemu ya Kujenga Dalaja

• Wasilisha maudhui ya somo kwa kutumia mafundisho ya video

Simamia Sehemeu ya Maudhui

Made with FlippingBook - Share PDF online