Mungu Mwana – Mwongozo wa Mkufunzi: Capstone Module 10 Swahili Mentor Guide
/ 3 5
M U N G U M W A N A
(2) Neno ni la kwanza na la juu kabisa katika uumbaji wa Mungu, lakini si Mungu wala halipo kwa nafsi yake [ self-existent , yaani pasipo kutegemea chochote].
d. Mashahidi wa Yehova ni Waariani wa kisasa.
e. Waariani wanaharibu ushuhuda wa Biblia kuhusu uungu wa Neno Aliyefanyika mwili .
1
E. Majibu ya kisasa kwa hoja ya uungu wa Kristo: Kristolojia ya Kiutendaji [Functional Christology].
1. Huweka mkazo katika Kristolojia ya kile ambacho Yesu alifanya (kazi na matendo yake) na si juu ya Yesu ni nani na alikuwa nani.
2. Haisisitizi sana ushuhuda wa Biblia juu ya nafsi ya Yesu pamoja na kazi yake.
III. Athari za Uungu wa Yesu Kristo kwa Imani na Uanafunzi Wetu
Yeye aliye na Mungu Mwenyezi, Neno, hahitaji kitu. ~ Klementi wa Aleksandria (c. 195, E), 2.493. Ibid. uk. 95.
A. Yesu anatufunulia nafsi ya Mungu, Yohana 1:18; 14:9.
B. Mungu ametembelea sayari dunia kwa kusudi la ufunuo na ukombozi, Flp. 2:5-11.
C. Binadamu na Uungu wameunganishwa milele katika Bwana Mmoja, Yesu Kristo, Yoh. 1:14.
D. Yesu anastahili sifa, utukufu, na kuabudiwa kama Bwana na Mungu, taz. Yoh. 20:28 na Flp. 2:9-11.
Made with FlippingBook - Share PDF online