Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
1 7 8 /
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu wana Sifa na Kazi za Kiungu Zinazofanana (muendelezo)
Mungu Mwana
Mungu Roho Mtakatifu
Sifa ya Mungu
Mungu Baba
Mungu Aliwapa Wanadamu Sheria ya Kiungu Ambayo Ilifunua Tabia na Mapenzi Yake. (2 Tim. 3:16)
Eze. 2:4; Isa. 40:8; Kum. 9:10
Mt. 24:35; Yohana 5:39; Ebr. 1:1-2
2 Sam. 23:2; 2 Pet. 1:21; Rum. 8:2
Yohana 14:17; 1 Kor. 6:19; Efe. 2:22
Mungu anakaa ndani na katikati ya watu wanaomwamini (Isa. 57:15).
2 Kor. 6:16; 1 Kor. 14:25
Efe. 3:17; Mt. 18:20
Mt. 12:31; Luka 1:35; 2 Kor. 3:18; 1 Pet. 4:14; Yoh. 4:24
Mungu Ndiye Aliye Juu, Aliye Juu zaidi ambaye hana wa kulingana naye, anatawala kama Bwana na Mfalme juu ya viumbe vyote, na ambaye pekee ndiye anayestahili kuabudiwa na kutukuzwa.
Isa. 42:8; Zab. 47:2; 1 Tim. 6:15; Mt. 4:10; Ufu. 22:8-9
Yohana 20:28-29; Ufu. 17:14; Ebr. 1:3, 6-8
Made with FlippingBook - Share PDF online