Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
/ 1 7 7
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
K I A M B A T I S H O C H A 1 5 Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu wana Sifa na Kazi za Kiungu Zinazofanana Maandiko Yanayounga Mkono Kweli Hii Imechukuliwa kutoka kwa Edward Henry Bickersteth, The Trinity . Grand Rapids: Kregel Publications, 1957. Rpt. 1980.
Mungu Mwana
Mungu Roho Mtakatifu
Sifa ya Mungu
Mungu Baba
Isa. 44:6; Rum. 16:26
Yohana 8:58; Ufu. 1:17-18
Mungu ni wa milele (Kum. 33:27)
Ebr. 9:14
Mwa. 1:2; Zab. 33:6; 104:30; Ayu 33:4; Yoh. 7:38-39; Rum. 8:11
Mungu Aliumba Vitu Vyote (Ufu. 4:11) na Ndiye Chanzo cha Uhai (Kum. 30:20)
Zab. 36:9; 100:3; 1 Kor. 8:6
Yohana 1:3, 4; Kol. 1:16
Isa. 46:9-10; Mt. 11:27; Ebr. 4:13
Isa. 40:13-14; 1 Kor. 2:10; Yohana 16:15
Mungu Haeleweki Kibinadamu (1 Tim. 6:16) na Anajua Yote (Yer. 16:17)
Mt. 11:27; Yohana 21:17
Mt. 18:20; 28:20
Mungu yupo Kila Mahali (Yer. 23:24)
Mdo 17:27-28
Zab. 139:7-10
Zak. 4:6; Rum. 15:19; 1 Kor. 12:11
Mungu ni Mwenye Nguvu Zote (2 Nya. 20:6) na Mwenye Enzi, Hutenda Jinsi Apendavyo (Ayu. 42:2)
Luka 1:37; Efe. 1:11
Yohana 14:14; Mt. 11:27
Zab. 34:8; Yohana 7:28; 17:11, 25
Yohana 14:6; 10:11; Mdo 3:14
1 Yohana 5:6; Yohana 14:26; Zab. 143:10
Mungu ni wa Kweli, Mtakatifu, Mwenye Haki, na Mwema (Zab. 119)
Mungu ndiye Chanzo cha Nguvu kwa Watu Wake (Kut. 15:2)
Zab. 18:32
Fil. 4:13
Efe. 3:16
Ni Mungu Peke Yake Anayesamehe na Kutusafisha Dhambi Zetu (Zab. 51:7; 130:3-4)
1 Kor. 6:11; Ebr. 9:14
Kut. 34:6-7
Marko 2:7-11
Made with FlippingBook - Share PDF online