Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
1 7 6 /
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
Mt. Basili, Kanuni ya Imani ya Nikea, na Fundisho la Roho Mtakatifu (muendelezo)
Toleo hili lililorekebishwa la Kanuni ya Imani asilia ya Nikea (kitaalam Kanuni ya Imani ya Nikea-Konstantinopoli) kwa kawaida inajulikana kama “Kanuni ya Imani ya Nikea” kwa kuwa ndilo toleo la mwisho la tamko lililoanzishwa huko Nikea. Kanuni hii inakubaliwa na Wakatoliki, Waorthodoksi 2 , na Wakristo wa Kiprotestanti kama muhtasari wa mafundisho ya kimaandiko ambayo yanaitenganisha Kweli na uzushi.
2 Ingawa Waorthodoksi hawajumuishi kishazi “na Mwana” (ambacho kiliongezwa baadaye) katika tamko kuhusu Roho anayetoka kwa Baba.
Made with FlippingBook - Share PDF online