Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

/ 4 1

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

1. Huduma ya Roho ya tumaini inatiririka kutoka katika jukumu lake muhimu katika kufanya upya uzima wa vitu vyote.

a. Ezekieli 36:6-37:28

b. Mathayo 19:28 (taz. Tito 3:5)

2. Roho kama uwepo wenye nguvu unaoakisi “Enzi Ijayo”.

1

a. Malimbuko ya uumbaji uliofanywa upya, Rum. 8:23-24.

b. Arabuni (dhamana) ya ufufuo na uzima wa milele, 2 Kor. 5:1-5.

c. Arabuni (dhamana, uthibitisho) ya utawala wa Kristo katika Enzi Ijayo, Efe. 1:13-14, 19-21.

Hitimisho

ukurasa 241  25

Roho anafanya kazi katika historia, kwanza kumleta mwanadamu katika uhai na kisha huisogeza historia kuelekea dhumuni la kuungana kwa mwanadamu [na Mungu]. Roho ni nguvu iliyotolewa ili kukamilisha mipango ya kiungu. Yeye ni Roho wa uumbaji na uumbaji mpya, anayehusika na kuunda jamii ya waaminio na kuuleta Ufalme. Roho ni nguvu ambayo kwayo enzi hii ya sasa itageuzwa kuwa Ufalme na ambayo daima inafanya kazi ili kuleta utimilifu mkuu... Upeo huu ni wa kushangaza. Pumzi ya Mungu iko juu ya uumbaji wote – tunaishi na kwenda na kuwa na uhai wetu katika bahari ya upendo. ~ Clark Pinnock. Flame of Love . uk. 61.

Made with FlippingBook - Share PDF online