Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

6 0 /

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

e. Wajumbe wa Sauli na Sauli mwenyewe, 1 Sam. 19:20, 23-24.

f. Kizazi kijacho cha watu wa Mungu, Yoeli 2:28-29.

2. Agano Jipya

a. Kulingana na Mtume Paulo, Roho Mtakatifu aliongea kupitia Isaya (Mdo. 28:25-26).

b. Wale waliokuwa chumba cha juu siku ya Pentekoste (Mdo 2:16-18).

2

c. Wanafunzi wa Yohana Mbatizaji kule Efeso (Mdo 19:6).

d. Yesu mwenyewe (Luka 4:18; Yoh. 3:34).

B. Unabii unaelezewa kama karama kutoka kwa Roho Mtakatifu.

Sote tunaweza kukubaliana kwamba inaonekana hakuna ufunuo mpya wa kutarajiwa kuhusu Mungu katika Kristo. Lakini inaonekana pia kwamba hakuna sababu nzuri ya kutosha kueleza kwa nini Mungu Aliye Hai, ambaye hunena na kutenda (tofauti na sanamu zisizo na uhai), hawezi kutumia karama ya unabii kutoa mwongozo fulani mahususi kwa kusanyiko la mahali fulani, taifa au mtu binafsi, au kuonya au kutia moyo kwa kutumia utabiri au hata maonyo, sawasawa na Neno lililoandikwa, ambalo kwa hilo matamko hayo yote lazima yapimwe na kuthibitishwa. Ni kweli, katika Agano Jipya si kazi ya nabii kuwa mvumbuzi wa mafundisho, bali kazi yake ni kuwasilisha neno alilopewa na Roho kulingana na ile Kweli waliokabidhiwa watakatifu mara moja (Yuda 3), ili kuchochea imani yetu. ~ J. P. Baker. “Prophecy.” New Bible Dictionary , 2nd ed. J. D. Douglas and others, eds. Leicester, England-Downers Grove, IL: InterVarsity Press, 1982. uk. 985.

Made with FlippingBook - Share PDF online