Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

6 2 /

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

2. Fundisho la Kuangazia (Illumination)

ukurasa 248  8

Akitoa maoni yake juu ya jukumu la Roho katika kuangazia, John Miley anasema, “Kuangazia huko ni

a. Ufafanuzi: Kuangazia ni kazi ya Roho Mtakatifu ambayo inawawezesha wasomaji wa Maandiko kuelewa maana yake kwa ajili ya maisha na nyakati zao.

dhana iliozoeleka katika Maandiko. Kama sehemu ya maongozi [au uvuvio], utendaji

b. Maandiko yanashuhudia kwamba ufunuo wa Mungu unaweza tu kueleweka kupitia kazi ya kuangazia ya Roho Mtakatifu. (1) Roho ametumwa kuwakumbusha waamini yale ambayo Yesu alifundisha na kuwaelekeza maana yake, Yohana 14:26 (taz. Isa. 59:21). (2) Roho anawaongoza waamini kwenye kweli kwa kuwasaidia kutambua kile ambacho kwa hakika kinatoka kwa Mungu, Yohana 16:13-15 (ling. 1 Yohana 2:26-27). (3) Roho, sio tu alichaguamaneno yaMaandiko bali pia anayatafsiri na kuwapa waamini uwezo wa kutambua maana zake, 1 Kor. 2:9-14 (ling. 2 Kor. 4:3-4).

wake unaweza kuwa sawa na ule wa Kristo alipofungua akili za wanafunzi wake ili wapate kuyaelewa Maandiko (Luka 24:45). Kwa hivyo waliweza kuzielewa kweli zilizofunuliwa hapo awali. Vivyo hivyo lazima kuwe na nuru ya kiungu... ya ufunuo ili kweli za Maandiko ziweze

2

3. Kuna mahusiano endelevu kati ya uvuvio na kuangazia .

kupokelewa na kueleweka kwa

ufasaha” ( Systematic Theology , Toleo la 2, uk. 481).

a. Katika Uvuvio, Roho anatenda kazi ndani ya mwandishi ili kuzalisha maandishi ambayo yanafunua kweli kweli nia, mapenzi, na moyo wa Mungu.

b. Katika Kuangazia, Roho Mtakatifu anatenda kazi ndani ya msomaji (au msikilizaji) wa Maandiko ili kumsaidia kuelewa kwa usahihi nia, mapenzi, na Moyo wa Mungu.

c. Pasipo kazi ya Roho Mtakatifu ya kuanganzia, unabii ungeangukia kwenye masikio yenye uziwi.

Made with FlippingBook - Share PDF online