Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

/ 6 9

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

mengi ya Agano la Kale, likiwa na maana “kuugua sana.” Neno hili lina mantiki ya kujisikia vibaya kwa kile ulichofanya. Ni neno linalohusiana na hisia za kujutia. Ni neno lililotumiwa na Ayubu aliposema, “Kwa sababu hiyo najichukia nafsi yangu, na kutubu Katika mavumbi na majivu.” Ayu. 42:6. c. Ishara za nje za moyo uliobadilika ambazo zinaonekana zaidi ni hisia za uchungu na roho iliyovunjika. Ishara ya nje ya kuaminika zaidi ya moyo uliobadilika ni kwamba mtu aliyejuta anafundishika. Anafika mahali pa kukinai hali ya kuwa msumbufu, mkaidi, mwenye kiburi, na mbishi anaposaidiwa. a. Tofauti ya toba na huzuni ya kidunia Anachohitaji Mungu ni zaidi ya ile huzuni ya kidunia (2 Kor. 7:10), yaani, huzuni ambayo si kitu zaidi ya hisia za hatia au hofu ya matokeo. Lengo la Roho ni kuelekeza upya mapenzi ya mtu kwa Mungu ili matokeo yawe badiliko la maisha. Toba ya kweli daima huzaa dhamira ya kubadilika. b. Maandiko hufundisha mara kwa mara kwamba toba ya kweli sikuzote hujumuisha dhamira thabiti ya kubadili tabia mbaya. (1) Matendo ya haki na ya upendo ndiyo yanayofanya iwe dhahiri kwamba mtu ni wa Mungu (1 Yoh. 3:10). (2) Basi zaeni matunda yapasayo toba, Mt. 3:8. (3) Mfano wa mtunza bustani na mtini usiozaa, Luka 13:1-9.

ukurasa 251  11

2

3. Toba inajumuisha badiliko la UTASHI.

c. “Matunda ya Toba” (1) Toba, kwanza kabisa, ni tendo la imani. (a) Matendo ya Mitume 26:20

Made with FlippingBook - Share PDF online