Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

8 6 /

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

1. Pale tu tunapompokea Yesu tunahesabiwa haki na kuzaliwa upya.

a. Kuhesabiwa haki kuna maana kwamba tumesamehewa na Mungu.

b. Kuzaliwa upya kuna maana kwamba tumebadilishwa na Mungu.

c. Kuhesabiwa haki kunatupa kusamehewa kwa kuwa sisi sio wenye haki, wakati kuzaliwa upya kunafanya iwezekane kwetu sisi kuwa wenye haki.

Kuzaliwa upya kimsingi ni kazi ya Roho Mtakatifu. Tumeshaona kwamba Yesu alisema,

2. Agano la Kale linaonyesha fundisho hili katika vifungu vya Maandiko vinavyozungumzia kuhusu Mungu “kutoa moyo mpya” (Yer. 24:7; Eze. 11:19) na “kufanya ‘mifupa mikavu ’ iishi,” Eze. 37:1-14.

3

“Kilichozaliwa na mwili ni mwili, na kilichozaliwa na

3. Agano Jipya linasema waziwazi kwamba ni kazi ya Roho Mtakatifu kutufanya kuwa watu wapya kabisa.

Roho ni roho.” Hivyo, kuzaliwa mara ya pili kunatokea kwa njia ya Roho Mtakatifu. ~ J. Rodman Williams. Renewal Theology. Vol. Two. Grand Rapids: Zondervan, 1990. uk. 37.

Tito 3:4-6 – Lakini wema wake Mwokozi wetu Mungu, na upendo wake kwa wanadamu, ulipofunuliwa, alituokoa; 5 si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyoyatenda sisi; bali kwa rehema yake, kwa kuoshwa kwa kuzaliwa kwa pili na kufanywa upya na Roho Mtakatifu; 6 ambaye alitumwagia kwa wingi, kwa njia ya Yesu Kristo Mwokozi wetu (taz. Yohana 3:5-6).

4. Kuna mfululizo wa maneno yaliyotumika katika Maandiko kuelezea hali hii ya kuzaliwa upya. Inaitwa:

a. Kuzaliwa upya, Yohana 3:7

b. Kuzaliwa na Mungu, Yohana 1:13

Made with FlippingBook - Share PDF online