Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
/ 8 7
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
c. Kuzaliwa kwa Roho, Yohana 3:5
d. Kufanywa upya kwa Roho Mtakatifu, Tito 3:5
e. Kuvuka kutoka mautini kuingia uzimani, Efe. 1:1, 10
f. Kufanywa hai, Efe. 2:5
g. Kiumbe kipya, Gal. 6:15
h. Utu mpya, Efe. 4:24
3
i. Kufanywa upya kwa ufahamu katika sura ya Muumbaji (1) Waefeso 4:23-24 (2) Wakolosai 3:10
j. Haya yote yanaelezea kazi moja ya Roho ya kuzaa upya ambayo hutokea tunapoweka imani yetu katika Kristo na kupokea wokovu.
C. Kanuni kuu za kitheolojia ambazo Biblia inafundisha kuhusu kuzaliwa upya.
1. Kuzaliwa upya ni karama ya Mungu ambayo haiwezi kugharamiwa bali inapokelewa kwa imani.
a. Mlinganisho wa tendo la kuzaliwa: hakuna mtu anayeweza kuchagua kuzaliwa, kadhalika hatupo kwa sababu tulifaulu mtihani uliotufanya tustahili kuwepo. Maisha hutujia kama zawadi na yanategemea matendo ya wazazi wetu, sio sisi wenyewe. Kwa
Made with FlippingBook - Share PDF online