Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide
/ 9 7
M U N G U R O H O M T A K A T I F U
II. Ubatizo katika Roho Mtakatifu: Maeneo ya Makubaliano ya Jumla*
* Kuna vitu ambavyo wakristo wanakubaliana kwamba vinafanywa
A. Tunampokea Roho Mtakatifu pale tu tunapookoka (Rum. 8:9; 1 Kor. 12:13).
na/kupitia Roho Mtakatifu hata katika mapokeo hayo ambayo yanaamini neno
B. Ubatizo wa Roho ni kazi ya pamoja ya Mungu Baba, Yesu Kristo, na Roho Mtakatifu, Mt.3:11.
“Kubatizwa katika Roho Mtakatifu” linamaanisha tendo jingine na tofauti la kazi za Roho.
C. Tunabatizwa ( baptizo - kuzamishwa au kutumbukizwa kabisa) katika Roho Mtakatifu ili Roho afanye kazi yake ya kutuunganisha na Kristo na Kanisa lake.
1. Ubatizo wa Roho unatuunganisha na Kristo na wengine.
3
a. 1 Wakorintho 12:13
b. 2 Wakorintho 13:14
c. Neno ushirika linatokana na neno la Kiyunani koinonia ambalo pia linaweza kutafsiriwa kama ushirikiano. Ni tendo linalounda jumuiya, linalowaunganisha na kuwaweka pamoja watu wenye mafungamano ya pamoja.
2. Tendo hili la “kuunganisha” kupitia ubatizo wa Roho lilitarajiwa katika Maandiko ya Kiebrania, Isa. 44:3-5.
3. Tendo hili la “kuunganisha” kupitia ubatizo wa Roho limethibitishwa katika Maandiko ya Agano Jipya.
Made with FlippingBook - Share PDF online