The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide
/ 1 2 3
UFALME WA MUNGU
b. Kunahusishwa na hukumu ya Mungu, Ufu. 20:12-15.
IV. Kweli kuhusu Hukumu ya Mwisho
ukurasa 352 13
A. Hukumu ya mwisho bado haijatokea; ni hukumu ya wakati ujao .
1. Hukumu hii inahusishwa na jumla ya maisha ya mtu, baada ya kifo chake.
2. Hukumu kufuata baada ya kifo cha mtu, na baada ya Ujio wa Mara ya Pili, Ebr. 9:27.
3. Mwana wa Adamu kumlipa kila mtu sawa sawa na yale aliyotenda, Mt. 16:27.
4
B. Hukumu ya mwisho ina Yesu Kristo akihudumu kama Hakimu wa wote .
1. Ushuhuda wa Yesu kuhusu jukumu lake katika hukumu, Yohana 5:22, 27.
2. Uthibitisho wa Paulo wa ushuhuda wa Yesu unatokea katika sehemu kadhaa katika Agano Jipya:
a. 2 Kor. 5:10
b. 2 Tim. 4
Made with FlippingBook Learn more on our blog