The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide
/ 1 2 7
UFALME WA MUNGU
2. Dunia iliyoumbwa upya itajaa ibada ya Bwana na Mwana-Kondoo kama inavyoonekana katika Ufu. 19:1-4.
3. Watakatifu wa Mungu watahesabu kuwa ni baraka kwao kumtumikia milele, Ufu. 22:3.
4. Watu wa Mungu watamtumikia milele, wakitukuzwa katika miili isiyoweza kufa, katika dunia iliyokombolewa ambamo haki na amani vitatawala milele.
D. Utimilifu wa Ufalme; baada ya maadui wote kutia ndani kifo kuwekwa chini ya miguu ya Kristo, basi Kristo atahamisha Ufalme kwa Mungu, ambaye atakuwa Yote-katika-yote juu ya ulimwengu wote.
1. Katika fumbo kuu, utawala wa ufalme wa Mungu utakabidhiwa kwa Mungu Mwenyewe.
4
2. Kristo atahitimisha hadithi, akikabidhi Ufalme kwa Bwana Mungu, ambaye mwenyewe atakuwa Yote katika yote.
3. Baada ya Yesu kuangamiza utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu, atakabidhi Ufalme kwa Mungu Baba, 1 Kor. 15:24-28.
a. Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake.
b. Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.
c. Hili likikamilika, ndipo Yesu mwenyewe atawekwa chini ya Mungu Baba.
Made with FlippingBook Learn more on our blog