The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide

/ 3 1 7

UFALME WA MUNGU

Wajulishe wanafunzi kuhusu muunganiko wa masomo yote ya ufalme. Somo hili la kwanza linaangazia tatizo; ni zulia la kuingilia katika tamthilia ya Mungu, likielezea na kuzingatia uasi wa kibinadamu na wa kimalaika. Ni muhimu mara zote kuunganisha kile kinachosomwa sasa na kile kilichosomwa wakati uliopita, na kile kinachokuja. Somo linalofuata linaangazia mada ya kuzinduliwa kwa Utawala wa Ufalme wa Mungu, na nia yake ya kurudisha ulimwengu chini ya utawala wake. Mungu atukuzwe kwa sababu, katika Yesu Kristo, amejirejesha mwenyewe katikati ya ulimwengu, na anakusanya kutoka ulimwenguni mwote watu ambao watakuwa milki yake milele!

 25 Ukurasa 37 Kuelekea Somo Linalofuata

Made with FlippingBook Learn more on our blog