The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide
/ 4 9
UFALME WA MUNGU
III. Utawala wa Mungu umezinduliwa kupitia watu wake Israeli, ambao Mungu aliwachagua Kuwa kichwa cha mataifa, na ambao kutoka kwao Masihi angetoka.
ukurasa 322 7
A. Israeli ilichaguliwa kuwa ufalme wa makuhani wa kifalme ili kudhihirisha utukufu wa Mungu.
1. Kut. 19:3-6
2. Israeli ilichaguliwa kuwa chombo ambacho Mungu angekitumia kujitambulisha kwa mataifa.
2
B. Katika familia za Yuda katika Israeli, Mungu anapanua ahadi ya agano kwa Mfalme Daudi, ambaye ukoo wake unakuwa ukoo mteule ambao kutokea huo Mzao wa Kimasihi wa Mungu angekuja, 2 Sam. 7:12-16.
1. Sasa tunaweza kufuatilia historia.
a. Proto-evangelium , Mwa. 3:15,
b. Agano na Ibrahimu, Mwa. 12:3,
c. Utambulisho wa Yuda kama kabila ambalo Masihi angetokea hatimaye, Mwa. 49:8-10,
d. Agano na ukoo wa Daudi, 2 Sam. 7:12-17,
2. Uthibitisho kwa Daudi kama familia ambayo kwayo Masihi mwenyewe angekuja.
Made with FlippingBook Learn more on our blog