The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide
4 8 /
UFALME WA MUNGU
d. Wale watakaomlaani Abramu watalaaniwa.
e. Familia zote za dunia zitabarikiwa kupitia yeye.
2. Yesu wa Nazareti ndiye Mzao wa Ibrahimu.
a. Gal. 3:13-14.
b. Ahadi ya Mungu kwa Ibrahimu ilifanywa upya, Mwa. 15:5.
2
B. Ahadi ya agano ya Ibrahimu ilifanywa upya kupitia mababa: Isaka na Yakobo
1. Ahadi ya Mzao wa haki kurejesha utawala wa Mungu.
2. Imefanywa upya kwa wana wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, kama warithi wa Ahadi.
C. Ahadi ilibainisha na kutaja: kabila la Yuda
1. Uthibitisho wa kinabii wa Yakobo kuhusu Shujaa ajaye kupitia kabila la Yuda, Mwa. 49:8-10.
2. Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda hadi Ufalme utakapofanywa kuwa halisi kwa wanadamu wote.
Made with FlippingBook Learn more on our blog