The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide
/ 4 7
UFALME WA MUNGU
2. Awamu ya pili – Mungu kama Shujaa wa Kiungu anayepigana na Israeli yenyewe.
3. Awamu ya tatu – Mungu kama Shujaa wa Kiungu ambaye manabii wa Israeli wanamwona wakati ujao na kueleza juu ya kuja kwa Mtumishi wa Yehova, Yule ambaye kupitia kwake Mungu atarudisha vitu vyote chini ya utawala na milki yake.
4. Awamu ya nne – Mungu kama Shujaa wa Kiungu kupitia Yesu wa Nazareti, Bwana Mshindi.
2
5. Awamu ya tano – Mungu kama Shujaa wa Kiungu anatazamiwa na Kanisa linalomwakilisha Bwana Mfufuka kama wakala wake wa Ufalme, na Yesu atarudi duniani na kurudisha vitu vyote kwa utukufu wake.
II. Utawala wa Mungu umezinduliwa kupitia agano la Mungu kwa Ibrahimu na Ahadi yake.
ukurasa 322 6
A. Mungu alifanya agano na Ibrahimu, ambaye kutokea katika ukoo wake Mungu angemdhihirisha Mzao ambaye angemponda kichwa nyoka, Mwa. 12:1-3
1. Mungu, Shujaa wa Kiungu, anafanya agano na Abramu kumfanya kuwa taifa kubwa.
a. Atabarikiwa.
b. Jina lake litakuwa kubwa.
c. Wale watakaombariki Abramu watabarikiwa.
Made with FlippingBook Learn more on our blog