The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide
4 6 /
UFALME WA MUNGU
C. Mungu kama Shujaa wa Kiungu katika proto-evangelium : Mwanzo 3:15 kama tangazo la Mungu la dhamira na mwelekeo wake duniani.
1. Anapingana na nyoka.
2. Atafanya kazi ya kumleta Mzao.
3. Mwishowe, Mzao atamponda nyoka kabisa.
D. Mungu kama Shujaa wa Kiungu katika Maandiko.
2
1. Kabla ya ushindi mkuu kwenye Bahari ya Shamu, Musa alizungumza kuhusu kupigana kwa Mungu kwa ajili ya Israeli, Kut. 14:13-14.
2. Wimbo wa Musa baada ya tukio la Kutoka na kuharibiwa kwa majeshi ya Farao, Kut. 15:1-3.
3. Katika kusafiri kwa Sanduku, Musa alimwomba Bwana ainuke kama Shujaa Mwenye Nguvu, Hes. 10:35-36.
4. Daudi mbele ya Goliathi, 1 Sam. 17:45-47.
E. Awamu tano za Mungu kama Shujaa wa Kiungu (Longman na Reid).
1. Awamu ya kwanza – Mungu kama Shujaa wa Kiungu anayepigana na maadui wa damu na nyama wa Israeli.
Made with FlippingBook Learn more on our blog