The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide
/ 5 3
UFALME WA MUNGU
I. Utawala wa Ufalme wa Mungu umezinduliwa na kutimizwa (katika Maana ya Mwisho) katika nafsi na kazi za Yesu Kristo. “Upekee wa Ufalme wa Mungu, katika nafsi na kazi ya Yesu wa Nazareti, ni kwamba utawala wa Mungu umekuja na sasa upo, kwa kiwango fulani duniani.”
Muhtasari wa Sehemu ya 2 ya Video
ukurasa 324 10
A. Yesu wa Nazareti alijitangaza kuwa Yeye ni utimilifu wa ahadi ya Kimasihi.
1. Luka 4:18-19.
2. Kutimizwa kwa unabii wa Mwaka wa Yubile wa Isaya 61.
2
B. Yesu wa Nazareti ni Neno aliyefanyika mwili: Yesu mwenyewe ni Umwilisho wa Ufalme.
1. Yohana 1:14-18.
2. Kuja kwa Yesu ulimwenguni kunawakilisha utimilifu wa ahadi ya Ibrahimu, mwanzo wa mwisho wa utawala na mamlaka ya Shetani, na kuanzishwa kwa enzi ijayo katika enzi hii ya sasa.
C. Dalili za uwepo wa Ufalme zilitambulika katika kuja kwa Yesu
1. Luka 17:20-21
2. Luka 10:16-20
3. Luka 11:17-20
Made with FlippingBook Learn more on our blog