The Kingdom of God, Swahili Mentor Guide

7 4 /

UFALME WA MUNGU

3. Katika kusanyiko la watakatifu wa Mungu kuna msamaha unaotolewa na kushuhudiwa.

C. Kanisa ni mahali pa kusanyiko la kimwili la viungo vya mwili wa Kristo.

ukurasa 332  6

1. Waamini ni viungo vya mwili wa Kristo, na viungo kila mmoja kwa mwenzake, Rum. 12:3-8.

2. Sitiari ya mwili: Kanisa ni uenezi wa Yesu ulimwenguni.

a. Ni watu wenye kubeba ushuhuda na kutoa ushahidi.

b. Ni watu wanaotoa uthibitisho wa uwepo wa Ufalme katika enzi hii na zama hizi za sasa.

3

c. Ni kionjo cha maisha ya enzi ijayo katika vitongoji vyetu leo.

II. Kanisa ndio mahali au muktadha wa uwepo wa Roho Mtakatifu unaotia nguvu. Kanisa, kama mtu mmoja mmoja na kama washirika, linakaliwa na Roho Mtakatifu wa Mungu atiaye nguvu, 1 Kor. 3:16-17. Waamini kwa pamoja hufanyika makao ambapo Mungu, Roho Mtakatifu hukaa, Efe. 2:21-22.

ukurasa 333  7

A. Roho Mtakatifu katika Kanisa ndiye ishara kuu ya uwepo wa Ufalme.

1. Ahadi ya Yesu kwa waamini kabla ya kupaa kwake: Roho Mtakatifu atawajilia juu yenu, Matendo 1:8.

Made with FlippingBook Learn more on our blog