The Kingdom of God, Swahili Student Workbook

5 0 /

UFALME WA MUNGU

C. Bwana akawa Shujaa wa Kiungu akipigana na watu wake kama adui (uhamisho na utumwa), pamoja na utajiri wa maono ya manabii juu ya Masihi.

1. Kutotii kwa Israeli: kuvunja agano lake kupitia ibada ya sanamu, uasherati, na uasi.

2. Hukumu ya Bwana juu ya watu wake wa agano: kuwapeleka utumwani na uhamishoni, akipigana na watu wake mwenyewe.

a. Ufalme wa Kaskazini wa Israeli ulihamishwa hadi Ashuru mwaka wa 722 K.K.

2

b. Ufalme wa Kusini ulihamishwa hadi Babeli mwaka wa 586 K.K.

D. Bwana kama Shujaa, Omb. 2:3-5

1. Ameurudisha nyuma mkono wake wa kuume.

2. Amemteketeza Yakobo kama moto uwakao.

3. “Bwana amekuwa mfano wa adui, Amemmeza Israeli.”

E. Ahadi ya urejesho (vitabu vya kinabii vya Maandiko)

1. Mungu anajua hukumu yake juu ya watu wake.

2. Atawarudisha watu wake kutoka utumwani, na kulitimiza agano lake na Ibrahimu.

Made with FlippingBook - Online catalogs