Theology of the Church, Swahili Mentor Guide

/ 1 0 1

THEOLOJIA YA KANISA

a. Kuwekwa katika mwili wa Yesu Kristo na Roho Mtakatifu (1 Kor. 12:13).

b. Kupitia ubatizo, tunaunganishwa moja kwa moja na Yesu katika kifo na ufufuo wake (Rum. 6:3-5).

c. Kwa hiyo, ubatizo ni ishara ya muungano na Kristo: tumezikwa pamoja naye katika ubatizo, na kufufuka pamoja naye kwa imani (Kol. 2:12).

B. Sehemu mojawapo ya ubatizo ni kuwasimika waamini wapya katika kweli za msingi za Yesu Kristo.

1. 1 Pet. 2:2

3

2. Kol. 2:6-7

3. Ebr. 5:12-6:2

Ni nini athari za mafundisho haya?

a. Maziwa lazima yatolewe kwa waamini wapya, ili kuwafanya wawe imara katika Kweli katikati ya kusanyiko na ushirika wa kweli wa Kikristo.

b. Maziwa haya, mafundisho ya awali, ni muhimu kama msingi wa ukuaji unaoendelea kuelekea ukomavu katika Kristo.

C. Hatimaye, waamini wapya waliobatizwa wanapaswa kuletwa na kuingizwa katika kanisa la mahali ambapo wanaweza kukua na kutumika katika Yesu Kristo.

Made with FlippingBook - Share PDF online