Theology of the Church, Swahili Mentor Guide
2 0 0 /
THEOLOJIA YA KANISA
KIAMBATISHO CHA 17 Meza ya Bwana: Mitazamo Minne Mch. Terry G. Cornett
Uthibitisho wa asili moja
Mtazamo wa Kimageuzi
Mtazamo wa kumbukumbu
Kubadilika
Wabaptisti, Wamennonite, Wapentekoste
Wapresbyteri na Makanisa mengine ya Kimageuzi, Kiepiskopi
Vikundi
Kanisa Katoliki la Roma
Ulutheri
Mwanzilishi
Thomas Aquinas
Martin Luther
John Calvin
Ulrich Zwingli
Kristo hayumo kiuhalisia katika viasili kwa sababu mwili wa Kristo uko mbinguni. Kristo yupo kiroho na anafanya kazi katika kushiriki vifaa husika kwa njia ya Roho Mtakatifu vinapopokelewa kwa imani. Vifaa vile vinapopokelewa kwa imani, mshiriki hupokea lishe ya kiroho ambayo huimarisha nafsi, humleta karibu na uwepo wa Kristo na kupata uzoefu mpya wa neema ya Mungu.
Baada ya kuwekwa wakfu na kasisi, mkate hubadilika kuwa mwili wa Kristo na divai hubadilika kuwa damu
Vifaa havibadiliki lakini Kristo yuko ndani, pamoja na, na chini ya viasili vya mkate na divai.
Kristo hayumo kabisa katika vifaa vile, si kiuhalisia wala kiroho.
Uwepo wa Kristo
ya Kristo ili Kristo awepo katika vifaa vyenyewe.
Mshiriki anatii Agizo la Kristo na kuadhimisha kifo chake ili akumbushwe faida za wokovu unaotimizwa kwa kifo cha Kristo cha kidhabihu. Upendo kwa Mungu unafanywa upya kupitia ukumbusho wa upendo wake kwetu.
Chakula cha kiroho hutolewa kwa nafsi, ambacho huimarisha mshiriki kiroho na kumsafisha na dhambi mbaya. Dhabihu ya Kristo msalabani inakuwepo kwa upya katika kila misa.
Dhambi zinasamehewa na ahadi za agano jipya zinathibitishwa tena. Ikiwa vifaa havipokelewi kwa imani, sakramenti haina faida.
Nini Kinatokea
Yoh. 6:53-58 Mt. 26:26 1 Kor. 10:16
Mt. 26:26 1 Kor. 10:16
Yoh. 6:63; 16:7 Kol. 3:1
Luka 22:19 1 Kor. 11:24-25
Aya Muhimu
Neno Linalotumika
Sakramenti
Sakramenti
Sakramenti
Agizo
Viongozi wa Kanisa (Wakleri au Walei)
Viongozi wa Kanisa (Wakleri au Walei)
Nani Anayeongoza
Kuhani
Mtumishi Msimikwa
Made with FlippingBook - Share PDF online