Theology of the Church, Swahili Mentor Guide

/ 5 5

THEOLOJIA YA KANISA

cha utii ni kuja kwa Kristo kwa tumaini na kisha kuwa na picha hiyo kupitia ishara ya ubatizo. ~ Trent C. Butler, Mhariri mkuu. Holman Bible Dictionary (toleo la kielektroniki). Nashville: Holman Bible Publishers, 1991.

C. Ubatizo una umuhimu unaolingana ndani ya mapokeo yanayouita sakramenti na yale yanayouita maagizo. Ubatizo unatolewa na kuamriwa na Kristo mwenyewe. Kamwe sio hiari au wa kufanyiwa mbadala. Kwa hiyo, kwa wale wanaouona kama sakramenti na wale wanaouona kuwa ni agizo, ubatizo ni alama bayana kwamba mtu amejikabidhi chini ya ubwana wa Yesu Kristo.

ukurasa 234  14

2

IV. Meza ya Bwana

ukurasa 235  15

A. Maneno ya Kawaida:

Katika Meza ya Bwana kuna mwendelezo wa kufanywa upya kwa agano kati ya Mungu na Kanisa. Neno ‘ukumbusho’ ( anamnesis ) linarejelea si tu mtu kumkumbuka Bwana bali pia Mungu kumkumbuka Masihi wake na agano lake, na ahadi yake ya kurejesha Ufalme. Wakati wa mlo huu yote haya huletwa

1. Meza ya Bwana (au Chakula cha Bwana) ni jina la kawaida kwa tendo hili la ibada.

2. Unaweza pia kusikia ikiitwa ekaristi (ambayo ina maana ya “chakula cha shukrani”), Ushirika, au Meza ya Bwana. Chakula cha Bwana kilitolewa kwa Kanisa na Yesu mwenyewe usiku kabla ya kukamatwa kwake.

B. Iliasisiwa na Yesu Kristo

mbele za Mungu katika maombi na maombezi. ~ R. S. Wallace. “Lord’s Supper.”

1. Mt. 26:26-29

Evangelical Dictionary of Theology . Walter A. Elwell, Mh. Grand Rapids: Baker, 1984. uk. 653.

2. 1 Kor. 11:23-26

Made with FlippingBook - Share PDF online