Theology of the Church, Swahili Student Workbook

9 0 /

THEOLOJIA YA KANISA

a. Sisi tunaoamini tumebarikiwa pamoja na Ibrahimu, mtu wa imani, Gal. 3:7-9.

b. Uteuzi huu wa Mataifa ulikuwa siri iliyofichwa kwa vizazi, lakini sasa inajulikana kwetu kupitia mitume na manabii. (1) Rum. 16:25-27

(2) Efe. 3:8-11 (3) Kol. 1:25-27

2. Vivyo hivyo, Mungu sasa anatoa mwaliko kwa ulimwengu wote na fursa kwa wanadamu wote kuokolewa kwa imani katika Yesu Kristo. Mungu anawaalika watu wote kwake, akianzisha upatanisho wa kweli kupitia mamlaka yake kuu na neema yake.

3

a. Tito 2:11 na 1 Yoh. 2:2

b. Yoh. 3:16

c. Mdo 17:30-31

d. 1 Tim. 2:3-6

e. 2 Pet. 3:9

f. Mungu anawataka wanaume na wanawake wote, wavulana na wasichana kila mahali wamjie. (1) Isa. 55:1 (2) Mt. 11:28

Made with FlippingBook flipbook maker