Theolojia Katika Picha

1 2 0 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kuchagua Vigezo vya Uhuru Vinavyoaminika (muendelezo)

d. Mwili kutumia hekima katika kuamua ni viongozi gani wa kuwafadhili (yaani, ni wangapi linaweza kumudu kufadhili kikamilifu au kwa sehemu), wakati huo huo likiwategemea viongozi walei na washirika kukidhi mahitaji yake kwa kadri Mungu anavyoongoza. e. Kutambuliwa tofauti na uongozi wa kimishenari kama mamlaka ya kanisa. 3. Uteuzi wa Mchungaji wao Wenyewe na Watumishi katika Huduma ya Kichungaji a. Kutegenezwa kwa kanuni/sheria ndogo/katiba/makubaliano kwa ajili wajibu wa wachungaji na uhusiano wao na Mwili. b. Kuwekwa kwa mchungaji aliyeidhinishwa ipasavyo na washirika na kuidhinishwa na uongozi. c. Kutambua rasmi mamlaka na wajibu wa mchungaji. d. Uthibitisho wa kwamba jumuiya itatoa ushirikiano na utii kwa uongozi wa kichungaji. 4. Kuweka Mipaka na Kupunguza Uangalizi, Ushiriki na Uelekezaji a. Wamishenari wamesalimisha nyadhifa na mamlaka yote muhimu. b. Uelewa wa wazi wa jukumu la wamishenari wanaohudumia Mwili wetu kwa sasa. c. Kuweka mipaka iliyo wazi kati ya wamishenari na viongozi wenyeji katika kufanya maamuzi na kuweka mwelekeo wa kanisa. d. Kuwatima moyo wamishenari kutafuta maongozi ya Mungu kuhusu jamii lengwa mpya kwa ajili ya kuifikia kwa Injili ya Yesu Kristo. 5. Huduma za Kipekee za Kanisa Zinazoendeshwa kwa Mzigo na kwa Msingi wa Karama. a. Dhima na maono yanayoeleweka kuhusiana na makusudi na malengo ya kanisa kukomaa na kukua kiidadi chini ya maongozi ya Mungu. b. Kuzaa makusanyiko mapya yenye vinasaba vya kanisa letu (yaani, kufadhili na kuunga mkono juhudi zingine za upandaji makanisa katika jiji letu na kwingineko). c. Fungua milango kwa washirika kugundua fursa za huduma zinazoendana na maono ya kanisa ya kuhamasisha washirika wake kuhudumu katika jamii yao.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software