Theolojia Katika Picha

1 4 6 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kushughulika na Njia za Zamani Imechukuliwa kutoka kwa Paul Hiebert

Imani za Zamani, Taratibu za Kiibada, Hadithi, Nyimbo, Desturi, Sanaa, Muziki, n.k.

Kukana Mambo ya Kale kwa Jumla (Kukataa Utohozi)

Kushughulikia ya Kale Kiuhakiki (Uwekaji Muktadha [Utohoaji] Kiuhakiki)

Kukubali ya Kale bila Kukosoa (Kutohoa Pasipo Kukosoa)

Injili ni ya kigeni - Kukataliwa kwa Injili

Usawazishaji

1) Kusanya Habari kuhusu ya Kale

Ya Kale Kumezwa - Usawazishaji ( syncretism )

2) Chunguza Mafundisho ya Biblia

3) Tathmini Mambo ya Kale Katika Mwanga wa Theolojia

4) Mifumo Mipya ya Maisha ya Kikristo Inayozingatia Muktadha

Made with FlippingBook Digital Publishing Software