Theolojia Katika Picha

1 4 8 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

kijasiri ya imani. Kheri kuwa na jicho la hakika kwenye historia, roho iliyojitoa kuheshimu kanisa la kale, na ahadi ya ndani kabisa kwa maandiko, inatupasa kugundua tena kwenye mapokeo makuu mbegu mpya ya ukweli na imani hiyo na nguvu, tunaweza kubadilishwa tunaporejea na kujulishwa na kiini cha imani na desturi za kanisa kabla ya migawanyiko ya kutisha, na kufanywa vipande vipande kwa historia ya kanisa Sawa kama tunaamini tunahitaji kwa vyovyote kuangalia tena katika kanisa la kwanza na mawaidha yake, au bora zaidi, tunashawishika hata kurejesha mapokeo makuu kwa ajili ya uamsho wa kanisa –Ni nini hasa tunachotarajia kukirudisha? Tunakubali kwa hakika kila kitu kilichosemwa na kanisa la kale na kufanywa kama “Injili” kuwa ni cha ukweli kwa kwasababu kilikuwa karibu zaidi na matukio ya kushangaza ya Yesu wa Nazareti hapa duniani? Hapana hatukubali kila kitu bila kuthibitisha, wala hatuamini kwamba uzamani katika uzamani wake ni kizuri kweli. Ukweli kwetu ni zaidi ya mawazo au madai ya zamani; Ukweli kwetu sisi uliwekwa katika utu wa Yesu wa Nazarethi, na maandiko yanatoa mamlaka na madai ya mwisho katika maana ya uhusiano wake na wokovu katika historia hatuwezi kukubali vitu kwa sababu tu vimetolewa taarifa kwamba vilifanyika siku zilizopita, au vilianza siku za kale. Kwa ajabu sana mapokeo makuu yenyewe yanatushawishi kuhakiki kuipigania imani ambayo ilitolewa kwanza kwa watakatifu (Yuda 3) kukubali na kusheherekea mapokeo tuliyoyapokea kutoka kwa mitume yalikuwa na mizizi na kufafanuliwa kwa maandiko matakatifu yenyewe, na kuelezewa katika maungamo na desturi za kikristo. yaliyomo kwenye mapokeo makuu ambayo anaamini yanastahili ufafanuzi na kuzingatiwa. 4 Ninaamini kuna vipimo saba ambavyo kutokana na faida ya kibiblia na kiroho yanaweza kutuwezesha kuelewa kile kanisa la kwanza liliamini, namna walivyoabudu na kuishi, na njia walivyoihami imani yao hai katika kristo Yesu. Kutokana na utii wao kwa nyaraka, maungamo na desturi za wakati huo, kanisa la zamani walionyesha ushuhuda wa ahadi ya wokovu wa Mungu kati kati ya wapagani na kizazi kidanganyifu. Kiini cha imani yetu ya sasa na desturi-ziliendelezwa katika enzi hizi, na inastahili kutazamwa mara mbili (na ishirini na mbili). Vipimo vya kiini cha mapokeo makuu Wakati Tjorham akitoa orodha yake ya mambo kumi ya kithiologia

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4 Ibid , pp 27-29. Mambo kumi ya Tjorhom yanabishaniwa katika mazingira ya kazi yake ambako naye anabisha kwa ajili ya kimiundo wa mambo na vidokezo vya ki ikumeni vya kurejeshwa kwa mapokeo makuu. Ninakubaliana kwa moyo wote na msukumo wa mjadala wake ambao ni kama imani yangu mwenyewe, hufanya madai kuwa upendo wangu kujifunza juu ya mapokeo makuu unaweza kufanya upya na kutajirisha kanisa la sasa katika ibada zake, huduma na utume.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software