Theolojia Katika Picha

/ 1 4 9

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Rekebisha, panga, na panua wazo la Tjorhom la mapokeo makuu, orodhesha hapa kile ninachokichukulia, kuwa ni mwanzo, uorodheshaji rahisi wa vipimo thabiti vinavyostahili uangalifu wetu usiogawanyika na urejesho kwa moyo wote. 1. Mapokeo ya kitume. Mapokeo ya kimitume, mapokeo makuu yana mizizi katika mapokeo ya kimitume yaani, ushuhuda wa kuona wa mitume na kumfahamu kwanza kinaganaga Yesu wa Nazarethi, ushahidi wa mamlaka kwa maisha na kazi zake yaliyoelezwa katika maandiko matakatifu, kanuni za Biblia yetu leo. Kanisa ni la kimitume, limejengwa katika msingi wa manabii na mitume, na Kristo mwenyewe akiwa jiwe la pembeni. Maandiko yenyewe yanawakilisha chanzo cha mafafanuzi yetu juu ya ufalme wa Mungu, hadithi hiyo ya ukombozi wa upendo kwa Mungu umejumlishwa katika ahadi kwa Ibrahimu na mababa, katika agano na uzoefu wa Israel, ambao ulikamilka katika ufunuo wa Mungu ndani ya Kristo, kama ilivyotabiriwa na manabii na kudhihilishwa katika ushuhuda wa kitume. 2. Mtaguso wa kanisa na nguzo za Imani, Hususani imani ya Nikea. Mapokeo makuu hutangaza ukweli na kuweka mpaka wa imani ya kweli kihistoria, kama inavyofafanuliwa na kudaiwa katika imani ya mtaguso wa kanisa la zamani ambalo halikugawika likiwa na lengo maalum juu ya imani ya Nikea. Maazimio yao yalichukuliwa kuwa tafsiri sahihi na mafafanuzi katika mafundisho ya mitume yaliwekwa katika maandiko. Ingawa si chanzo cha imani yenyewe kukubali kwa mtaguso na nguzo za imani, huwakilisha maana ya mafundisho yake, 5 hasa yale ya kabla ya karne ya tano (ambako kwa kweli mafundisho ya mwanzo kuhusu Mungu, Kristo na wokovu yaliwekwa bayana na kukubaliwa). 6 3. Kanuni za imani za kale. Utamaduni Mkuu ulikumbatia kiini cha utawala wa imani ya Kikristo k. m., kanuni ya kiwango cha imani za kale, iliyochukuliwa kuwa kigezo ambacho madai na mapendekezo kuhusu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5 Ninawiwa kwa marehemu Dkt. Robert webber kwa huku kusaidia kwake kutofautisha kati ya chanzo na maana ya imani ya kikristo na ufafanuzi wake. 6 Ingawa mitaguso saba (pamoja na mingine) inathibitisha na wote katholiko na jumuia za orthodox kama zinashikilia, ni mabaraza manne ya kwanza ndiyo yanayofikiriwa kuwa muhimu, maungamo muhimu zaidi ya kanisa la kale ambalo halikugawika. Mimi na wengine tunashawishika kuwa hili hasa kwa sababu yale manne ya kwanza yanadhihirisha na kuamua mwanzo na mwisho wa kile ambacho kinaweza kufikiriwa kuwa imani yetu ya kweli juu ya mafundisho ya utatu na Yesu kufanyika mwili (cfl Philip Schaff, The creeds of Christedom, V.1 Grand Rapids:- Baker Book House,1996, P.44), vile vile, hata wenye mamlaka –ya matengenezo walikubali mafundisho ya mapokeo makuu na kushikilia maungamo yake ya muhimu zaidi kuwa ndiyo yenye mamlaka kwa kulinganisha, Calvini angebishi katika tafsiri ya theologia yake kuwa,”Kwamba mabaraza

Made with FlippingBook Digital Publishing Software