Theolojia Katika Picha

1 5 0 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

tafsiri ya imani ya kibiblia yalitathminiwa. Kanuni hii, inapotumiwa kwa heshima na kwa usahihi mkubwa, inaweza kueleza wazi kiini cha kutubu kwa ukristo wa kanisa la kale na isiyogawanyika. Inayoonyeshwa wazi katika maelekezo na methali ya Vincent of Lerins ile ambao imeaminiwa kote na kila mtu. 7 4. Mtazamo wa ushindi wa Kristo kwa ulimwengu. Mapokeo mapya humwazimisha na kuthibitisha kuwa Yesu wa Nazarethi ni Kristo, masihi aliyeahidiwa wa maandiko ya kiebrania, Bwana aliyefufuka na kuinuliwa na kichwa cha kanisa katika Yesu wa Nazarethi pekee, Mungu ameshikilia tena utawala wake juu ya ulimwengu, baada ya kuangamiza mauti katika kufa kwake, na kuwashinda maadui zake kwa kufanyika kwake kuwa mwili, kufa na kufufuka na kupaa na kuwafidia wanadamu kutoka kwenye adhabu yao kwa sababu ya kuvunja kwao Amri. Sasa kwa kufufuka kwake kutoka katika wafu, akapaa mbinguni na kutukuzwa katika mkono wa kuume wa Mungu, amemtuma Roho Mtakatifu duniani kuliwezesha kanisa katika maisha yake na ushuhuda. Kanisa linapaswa kuhesabiwa watu wa ushindi wa Kristo. Katika kurudi kwake atakamilisha kazi yake kama Bwana. Mtazamo huu wa ulimwengu ulidhihirishwa katika maungamo ya ya kanisa la kale, mahubiri, ibada na ushuhuda. Kwa sasa kupitia liturgia yake na desturi ya mwaka wa kanisa, kanisa linakiri, linaadhimisha linadhihirisha na kutangaza ushindi huu wa Kristo; Kuangamizwa kwa dhambi na maovu na urejesho wa viumbe vyote. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . yangekuja kuwa na heshima ambayo ni haki yao;lakini bado kwa wakati huo maandiko yangejitokeza mahali pa juu, na kila kitu kufuatana na kiwango chake. Kwa njia hii, kwa hiari tunayakumbatia na kuyaheshimu kama matakatifu mabaraza ya zamani, kama yale ya Nikea, constantinopo, la kwanza la Efeso 1; Kalidonia, na mengine kama hayo, ambayo yalihusika na kukemea makosa –kwa hasa yale yaliyohusiana na mafundisho ya imani. Kwa kuwa hayana chochote ila mafafanusi safi na halisi ya maandiko, ambayo mababa watakatifu waliyatumia kwa busara ya kiroho kuwaponda maadui wa dini waliokuwa wameinuka wakati huo.” (cf. John Calvin, Institutes of the Christian religion 4,9,8, John T Mcneill, ed. Ford Lewis Battles, trans, Philadephia:- Westminister Press pp 71-72) 7 Sheria hii ambayo imeshinda inastahili vizuri zaidi upendeleo katika miaka kama kipimo cha thiologia inayofaa kwa uhalisia wa ukweli wa kikristo, inafuma nyuzi tatu za makadirio ya uhakiki ya kuamua nini kinachoweza kuhesabiwa kama imani ya kweli au siyo katika mafundisho ya kanisa. Mt. Vicent wa Lerins, mfafanuzi wa thiologia aliyekufa kabla ya 450 BK, alitunga kile kilichokuja kuitwa kanuni ya “Kivicentian jaribio la nyuzi tatu ya ukatoliki quod abique, quod simper, quod ab omnibus creditumest (kile ambacho kimeaminiwa kila mahali wakati wote na kwa wote).” Kwa majaribio haya matatu ya ki ikumeni, ya zamani za kale na ridhaa kanisa linaweza kutambua kati ya mapokeo ya kweli naya uwongo.” (cf Thomas C. Oden, classical pastoral car, vol 4. Grand Rapids:- Baker Books, 1987, p.243).

Made with FlippingBook Digital Publishing Software