Theolojia Katika Picha

/ 1 5 5

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kutambua Wito: Wasifu wa Kiongozi Mkristo Mcha Mungu Mch. Dkt Don Davis

Utume

Tabia

Jumuiya

Uwezo

Anatambua wito wa Mungu na kuitikia kwa utii wa haraka kwa ubwana na uongozi wake. 2 Tim. 1:6-14; 1 Tim. 4:14; Mdo 1:8; Mt. 28:18-20 hutenda kulingana na wito na mamlaka inayotambulika na Mungu, inayokubaliwa na watakatifu na viongozi wengine wa kimungu. Mamlaka ya Mungu: Kiongozi wa kimungu Wito wa wazi kutoka kwa Mungu Ushuhuda wa kweli mbele za Mungu na wengine Hisia ya kina ya imani binafsi iliyojengwa juu ya msingi wa Maandiko Mzigo binafsi na mahususi kwa ajili ya kazi fulani au watu fulani Uthibitisho wa viongozi na mwili wa Kristo

Huakisi tabia ya Kristo katika imani binafsi, mwenendo, na mtindo wa maisha. Yohana 15:4-5; 2 Tim. 2:2; 1 Kor. 4:2; Gal. 5:16-23 Unyenyekevu wa Kristo: Kiongozi wa kimungu anaakisi mawazo na mtindo wa maisha wa Kristo katika matendo na mahusiano yake. Shauku ya kufanana na Kristo Mfumo thabiti wa maisha kwa ajili ya Ufalme Kutafuta kwa dhati utakatifu Nidhamu katika maisha binafsi Hutimiza majukumu mahusiano kama mtumwa wa Yesu Kristo Hutoa kielelezo cha kuvutia kwa wengine katika mwenendo, usemi, na mfumo wa maisha (tunda la Roho) Huzingatia na kuthamini zaidi shughuli za huduma na/au bidii na matokeo ya kazi badala ya utauwa na kufanana na Kristo Kaa ndani ya Kristo Nidhamu kwa ajili ya utauwa Tafuta utakatifu katika mambo yote Kutoa kielelezo chenye nguvu kama cha Kristo ili wengine wafuate

Anachukulia kuzidisha wanafunzi katika mwili wa Kristo kama jukumu la msingi la huduma.

Anaitikia kwa uwezo wa Roho kwa ubora katika kutekeleza kazi na huduma aliyopewa.

Ufafanuzi

Maandiko Muhimu

Efe. 4:9-15; 1 Kor. 12:1-27

2 Tim. 2:15; 3:16-17; Rum. 15:14; 1 Kor. 12

Ukuaji wa Kanisa: Kiongozi wa kimungu hutumia rasilimali zake zote kuandaa na kuwezesha mwili wa

Nguvu za Roho: Kiongozi wa kimungu anafanya kazi kwa karama na upako wa Roho Mtakatifu.

Dhana Muhimu

Kristo katika kutimiza malengo na kazi yake.

Vipawa na karama kutoka kwa Roho Mtakatifu Fundisho sahihi kutoka

Upendo wa kweli kwa watu wa Mungu na kutamani kuwatumikia Kuwafuasa watu waaminifu Huwezesha ukuaji katika vikundi vidogo Anachunga na kuwafundisha waamini katika kusanyiko Wakristo na makanisa Huendeleza harakati mpya kati ya watu wa Mungu katika jamii yake Hutoa kipaumbele zaidi kwa kazi na shughuli kuliko kuwakamilisha watakatifu na kuendeleza jumuiya ya Kikristo Kukumbatia Kanisa la Mungu Jifunze miktadha ya uongozi Kujiandaa kwa umakini Hukuza ushirika na mitandao baina ya

kwa mlezi mwenye uwezo, uzoefu na ufahamu wa kina Ustadi katika

nidhamu za kiroho Uwezo katika Neno Kuweza kuinjilisha, kufuatilia, na kuwafuasa waongofu wapya Mwenye mikakati katika matumizi ya rasilimali na watu ili kukamilisha kazi ya Mungu Hufanya kazi kwa kutegemea karama ya asili na werevu binafsi badala ya uongozi na karama za Roho Gundua karama za Roho Pata mafunzo bora Boresha utendaji wako

Vipengele Vikuu

Hufanya kazi kwa msingi wa utu au

Mkakati wa Kishetani wa Uharibifu

cheo badala ya wito uliowekwa na Mungu na mamlaka endelevu

Tambua wito wa Mungu Gundua mzigo wako Uthibitishwe na viongozi

Hatua Muhimu

Ujasiri wa kina kwa Mungu unaotokana na wito wa Mungu

Kuzidisha wanafunzi katika Kanisa

Utendaji kazi thabiti wa Roho Mtakatifu

Matokeo

Made with FlippingBook Digital Publishing Software