Theolojia Katika Picha

1 6 6 /

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Kukabidhiwa (3)

Mafunzo (2)

wito

badala ya)

iliyotolewa

au mwalimu

naye awakataaye ninyi anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma. Yohana 20:21 - Basi Yesu akawaambia tena,

Luka 10:1 - Basi, baada ya hayo Bwana aliweka na wengine, sabini, akawatuma wawili wawili wamtangulie kwenda kila mji na kila mahali alipokusudia kwenda mwenyewe. Luka 10:16 - Awasikilizaye ninyi anisikiliza mimi,

Uidhinishaji Sambamba na Uwezeshaji wa Kutenda kwa niaba ya aliyemtuma

Ajili ya Kutimiza Wito

fursa ya kupata ujuzi muhimu • Kutambua vipawa na uwezo

Nyenzo na Mafunzo Sahihi kwa

• Kukasimisha mamlaka ya kutenda na kuzungumza • Upeo na mipaka ya mamlaka ya uwakilishi • Wajumbe rasmi (haki ya kutekeleza na kuwakilisha) • Kupewa ruhusa ya kuwa mjumbe (kusimama • Kutolewa ili kutimiza utume na kazi uliyoipokea.

• Mafunzo ya kitaalam na mrejesho endelevu

Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.

• Kuwekwa chini ya msimamizi, kiongozi, mshauri, • Maagizo yenye nidhamu juu ya kanuni zinazohusu • Mafunzo endelevu, kufanya mazoezi, na kupewa

IMANI

Utimilifu wa Kazi na Dhamira

Utume (4)

Uteuzi (1)

Mapenzi

Ya Mungu

Uongozi Kama

TABIA

Yaliyofunuliwa

inayoaminika

Uwakilishi

yule aliyekutuma kazi

wanaotambua wito

Utendaji wa Uaminifu na Nidhamu katika Kazi

• Kutimiza kazi uliyopewa

wa mtu, bila kujali gharama

fulani mahususi la uwakilishi • Wito kwa kazi au jukumi fulani • Kukabidhi nafasi au wajibu

• Utiisho wa nia ya mtu ili kukamilisha kazi • Utiifu: kutekeleza maagizo ya wale waliokutuma • Kufanya kazi kwa uhuru ndani ya mamlaka iliyokabidhiwa ya mtu ili kutimiza jukumu

Idhini ya

• Kudumisha uaminifu kwa wale waliokutuma • Kutumia njia zote zinazowezekana kufanya wajibu • Kutambua kikamilifu kwamba unawajibika kwa

Uteuzi Rasmi na Wito wa Kuwakilisha • Kuchaguliwa kuwa mjumbe, balozi au wakala • Kuthibitishwa na wengine (mamlaka rasmi)

DHAMIRA Viongozi Wako

• Kutambulika kuwa mwanachama wa jumuiya

• Kuitwa kutoka katika kikundi fulani kwa ajili ya jukumu

Thawabu (6)

Hesabu (5)

tathmini

makubwa

mwenendo

Utekelezaji

ukaguzi wa kina

na matokeo yake

mwitikio endelevu

juhudi zetu zinaleta matokeo

Tathmini Rasmi ya Uhakiki wa

• Namna rasmi ya kutangaza matokeo ya • Kutambua na kupongeza tabia na

Kutambuliwa hadharani na

• Zawadi au onyo kulingana na utekelezaji • Matokeo ya tathmini kuwa kama msingi wa ama kubadilishiwa kazi au kubakishwa • Kukabidhi miradi mipya yenye mamlaka

• Hukumu ya uwajibikaji na uaminifu wa mtu • Uchambuzi nyeti wa kile tulichotimiza • Utayari wa kuhakikisha kuwa shughuli na

• Kutoa taarifa kwa mamlaka iliyokutuma kwa

• Tathmini rasmi ya kina ya utekelezaji wa mtu

Kuelewa Uongozi kama Uwakilishi Hatua Sita za Wakala Rasmi Don L. Davis

Made with FlippingBook Digital Publishing Software