Theolojia Katika Picha

/ 3 3

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Funguo kwa Utafsiri wa Biblia (muendelezo)

Mtazamo wa Msingi

Kugundua Neno na matendo ya Mungu katika maisha ya watu kwenye maandiko

Mazingira ya Kimwili

Zingatia: Katika mchoro huu, Migawanyo ya Kuhatschek una maanisha hatua tatu za tafsiri ya Biblia kama zilivyoonyeshwa na Jack Kuhatschek katika kitabu cha Applying The Bible Downer’s Grove: IVP, 1990.

Mitazamo ya ulimwengu

Dini

Ulimwengu wao wa kale

Imani

Mgawanyo wa Kuhatschek Kuelewa mazingira ya asili ya andiko Kutafuta kanuni za jumla Kufanyia kazi kanuni hizo leo

Tamaduni

Lugha

Watu

Lilikuwa na maana gani kwao wakati ule? ............. Lina maana gani kwetu sasa?

Siasa

Historia

Kweli ya milele ya Mungu Aliye Hai

Kazi

Ulimwengu

Hali yetu katika ulimwengu wa sasa

Tabia

Familia

Mahusiano

Ujirani

Kanisa

Kutumia kanuni za Neno la Mungu katika maisha yetu ndani ya Kanisa na Ulimwenguni

Hatua za Msingi katika Utafsiri

Hatua ya Kwanza: Kuelewa Hali (Mazingira) ya Asili

Shabaha katika hatua hii ni kuelewa ulimwengu wa Biblia, mwandishi, na ujumbe wa Mungu kwa kundi fulani maalum la watu katika wakati na eneo maalum.

A. Muombe Mungu afungue macho yako kupitia huduma ya Roho Mtakatifu unapoendelea kusoma Neno lake. Mwambie Mungu kwamba unataka kubadilishwa na kujulishwa kwa kusoma kwako Maandiko. Muombe akufunulie matendo na mitazamo katika maisha yako mwenyewe ambayo inahitaji kubadilishwa na kuwa na nidhamu. Muombe Mungu atumie Neno lake kumfunua Yesu na kukufanya ufanane zaidi na Mwanawe. Mshukuru Mungu kwa kipawa cha Roho Mtakatifu, Mwana wake, na Maandiko. Waamini wengi walianza kujifunza kwao Neno la Mungu kwa kuomba maneno ya Zaburi 119.18 Baba wa mbinguni, fungua macho yangu nione vitu vizuri katika Neno lako. Amina.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software