Theolojia Katika Picha

/ 3 9

R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a

Hadithi anayosimulia Mungu Mch. Don Allsman

Kichwa cha Sura

Muhtasari wa Sura

Dhamira ya aya

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika (Yohana 1.1-3). Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na kwa hivyo mauti hiyo ikawafikia watu wote kwa sabau wote wemefanya dhambi (Rum 5.12). Ambao wao ni Wana wa Israeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake; ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu mwenye kuhidimiwa milele. Amina. (Rum 9.4-5) Ili sasa, kwa njia ya kanisa, hekima ya Mungu iliyo ya namna nyingi ijulikane na falme na mamlaka katika ulimwengu wa roho; kwa kadiri ya kusudi la milele aliokusudiwa katika Kristo Yesu Bwana Wetu. (Efe 3.10-11) Hapo ndipo mwisho atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote na, na nguvu. Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake chimi ya miguu yake, adui wa mwisho atakayebatilishwa ni kifo. (1Kor 15.24-26) Ufalme wa dunia umekwishakuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, naye atamiliki hata milele na milele.(Ufu 11.15) Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za ibilisi (1 Yohana 3.8b)

Mungu anaishi katika ushirika kamili kabla ya uumbaji Shetani na wafuasi wake waliasi na kuleta maovu kwenye kuwepo. Mungu anamwumba binadamu kwa mfano wake, anajiunga na shetani katika uasi Mungu anapigania kutenga watu kwa ajili yake kutoka kwa hao atatokea mfalme kuwaokoa watu wakiwamo watu wa mataifa. Ishara kwa mipango yake ya vita vinadokezwa njiani.

Jaribio la mapinduzi (Kabla ya Wakati) Mwanzo 1.1a

Uasi (Uumbaji na Anguko) Mwanzo1.1b – 3.13

Kujitayarisha kwa uvamizi (mababu, wafalme na manabii) Mwanzo 3.14 – Malaki Ushindi na uokozi (kufanyika mwili, majaribu, miujiza, ufufuo.) Mathayo – Matendo 1.11

Mwokozi anakuja kushughulika na pigo la kumnyang’anya silaha adui.

Mwokozi anafichua mpango wake wa watu waliokusudiwa kuchukua maendeleo ya umiliki kutoka kwa adui wakifurahia limbuko la ufalme ujao. Mwokozi anarudi kumwangamiza adui yake, kumwoa bibi arusi wake, na kurudia mahali pake halali katika kiti chake cha enzi.

Maendeleo ya jeshi. (kanisa) Matendo 1.12 – Ufunuo 3

Vita vya mwisho (kuja kwa mara ya pili) Ufunuo 4-22

Mfululizo wa kawaida wasimulizi za Biblia ni vita

Vita kati ya falme

Ni dunia ambapo vitu vya kuhuzunisha hutukia na vya kustajabisha pia. Ni dunia ambapo uzuri hushindanishwa dhidi ya uovu, upendo dhidi ya chuki, utulivu dhidi ya machafuko, katika pambano kuu ambapo mara nyingi ni vigumu kuwa na hakika ni nani yuko upande upi, kwa sababu mwonekano unaweza kudanganya. Pamoja na ghasia zake na hali ya kutokalika, bado ni dunia ambapo vita huendelea kwenye hatima, njema, kwa kuishi daima kwa furaha baadae, na pale baada ya muda kila mtu mwema na mbaya atakuja kujulikana kwa jina lake halisi.

~ Frederick Buechner. Telling the truth. (kusema ukweli)

Made with FlippingBook Digital Publishing Software