Theolojia Katika Picha
4 0 /
R e p r e s e n t a n d o l a t e o l o g í a
Tumaini
Kikubwa
Neno lako ni Kweli Ukiri Mkuu Maisha yake ndani yetu Kuishi katika njia Kuzaliwa upya ili kutumika Ushuhuda wa Hadithi Watu katika Hadithi Kuigiza Upya Hadithi Maandiko kama Muswada wa Simulizi Kama Wafuasi, Wageni Mfano Halisi wa Hadithi Muendelezo wa Hadithi Kama Watakatifu, Waungamaji Kama Waabudu, Wahudumu Kama Watumishi, Mabalozi
Ushuhuda wa Kiinjilisti Kuwafanya Watu Wote kuwa Wanafunzi
Ukarimu Kupita Kiasi Matendo Mema
Umoja ulio Uazi
Mawakala Hai wa
Ushahidi wa Utawala wa Ufalme wa Mungu
Utawala wa Mungu
Kubidishwa kwenye
Ufuasi wa Kikusanyiko Ushahidi wa Ufalme Ushirika, Malezi ya Kiroho
Ukarimu wa Kiwango
Upendo kwa Watakatifu
Kiroho
Kanisa
Ufuasi Wenye Ufanisi
katika Kusanyiko la Waaminio
Kukaa Ndani kwa Uaminifu
Uangalizi wa Kichungaji
Mfano Halisi
yanayoendelea
Malezi ya Kiroho
Kiroho cha Pamoja Safari ya Pamoja
Kuangazia Historia na Wakati Ujao
Kuchunga Kundi
kupitia Nidhamu za
kupitia Mwaka wa
Bado
Uzoefu wa Kiroho Mamlaka ya Biblia Theolojia Halisi Ibada ya Kikuhani Ushahidi wa Kikanuni na Kitume Kanuni ya Kale ya Imani Kukusanyika kila Wiki katika Makusanyiko ya Kikristo Faraja ya Kimungu Ushuhuda Uliovuviwa Kusimulia yaliyo kweli Furaha katika Ubora Mpaji wa Uzima Uvuvio wa Mungu Kanuni ya Imani ya Nikea Uwimbo na Shangwe Kumbukizi ya Kihistoria
Meza ya Bwana Kuigiza Upya Mchezo
Utabiri wa
Mafundisho
Mahubiri na
Kieskatolojia
Ulio Tayari/ ulio
Tamko la Kinabii
Ushiriki wa Kanisa katika Tamthilia ya Mungu inayoendelea Uaminifu kwa ushahidi wa kitume kuhusu Kristo na ufalme wake. Kazi inayotuhitaji sisi: Wokovu kwa neema kwa njia ya imani.
Wote
Ubatizo katika Kristo
Kanuni ya Imani
Kanoni ya Vincent
Kuungamanishwa na Kristo
Watakatifu
Ushirikawa
Itikio la furaha la aliyekombolewa kwa kazi ya Mungu ya ukombozi katika Kristo.
Ya kila Mahali, ya
Imani ya Mitume
na Imani ya Nikea
Kale, ya Ulimwengu
Chakula cha Kiroho Safari
Theolojia ya Biblia
Ufafanuzi wa Kimungu
Kumbukumbu za Kihistoria
Neno Lenye Pumzi ya Mungu
Riziki kwa Ajili ya
Historia Takatifu
Mtafsiri wa Hadithi
Uwepo kwa Kiungu na Shekina
Mwenye
Msaidizi
Kiongozi
Kupewa Uwezo na Nguvu
Mwalimu
Uje, Roho
Mtakatifu
Msingi wa Kristo Jamaii iliyojazwa Roho Mtakatifu Mapitio kwa muhtasari Vivuli na Kutimizwa kwa Agano Kuzaliwa upya na Kuasiliwa Mwenye Kufunua
Roho Mtakatifu
kama Msimuliaji
Kuiangazia Kweli
Mwenye Hiari Mkuu Uwakilishi wa Kimasihi Neno Kuvaa Mwili
Shujaa wa Hadithi
Mtetezi
dhidi ya Nguvu za Uovu
Mwenye
kuhuisha
Utambulisho wa Kijumuiya
Yesu kama
Mpatanishi wa Vitu Vyote
Muigizaji Mkuu
Kristo, Mshindi
Alfa na Omega Christus victor
BWANA Mungu ni chanzo, mtegemezaji na ni mwisho wa vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani. Vitu vyote viliumbwa na kuwepo kwa mapenzi yake na kwa utukufu wake wa milele, yeye Mungu katika utatu Mtakatifu, Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Rum. 11.36. Tamthilia inayoendelea ya Mungu wa Utatu
minifu
Ufunuo wa Mungu Mwenyewe katika uumbaji, Israeli, na Kristo. Msingi ambao hatukuhusika nao: Upendo mkuu wa Mungu. Simulizi ya Mungu juu ya kazi yake ya ukombozi katika Kristo. Mwandishi wa Hadithi Baba kama Mwongozaji Mtazamo wa Kikristo kuhusu Ulimwengu Mtazamo wa Imani katika Mungu na Utatu Muumba Muumba wa Kweli wa Ulimwengu Mmiliki Mtoaji Mkuu wa Uumbaji Mtawala
Mtawala Mbarikiwa wa Vitu Vyote
Mtunza Agano
Mtoa Ahadi Mwa
Hadithi ya Mungu: Mizizi yetu Mitakatifu Mch. Dkt. Don L. Davis
Made with FlippingBook Digital Publishing Software